Android App

Pakua Kuza Akaunti

Anza safari yako ya ukuaji wa mitandao ya kijamii leo hii. Pakua app yetu kwa haraka.

Kuza Akaunti

Kuza Akaunti

Toleo la Android· Bure · Salama

Android 5.0 au mpya
Nafasi: 30MB pekee
Hakuna ruhusa hatari
Imesainiwa kwa usalama

Mwongozo wa Kusakinisha kwa Android

Hatua tatu rahisi za kusakinisha app kwenye simu yako

01

Pakua APK

Pakua faili ya APK kutoka hapa. Hakikisha simu yako ina nafasi ya kutosha na muunganisho mzuri wa intaneti.

02

Ruhusu Ufungaji

Nenda kwenye Mipangilio → Usalama → Ruhusu 'Vyanzo Visivyojulikana'. Hii itakupa ruhusa ya kusakinisha app.

03

Sakinisha na Anza

Fungua faili ya APK, gusa 'Sakinisha', na subiri sekunde chache. Baada ya hapo, fungua app na uanze safari ya ukuaji!

App imethibitishwa kuwa salama kabisa